VIDEO : NYIMBO KWAYA YA TABATA MENNONITE(KUNYATANYATA) CHINI YA MWALIMU ELIKANA SIMATYA MBIJIMA

ELIKANA SIMATYA MBIJIMA: MWALIMU KWAYA YA TABATA MENNONITE CHOIR
Kwenye Albamu hii iliyopata umaarufu mkubwa sana miaka ya 2000, nyimbo zote mtunzi wake alikuwa ni Mwalimu Elikana Simatya Mbijima, pia ndiye mpigaji gitaa la solo na mwasisi wa kwaya hiyo tangu ilipokuwa ikiitwa Tabata Mennonite kule Tabata Shule na nyimbo maarufu sana wakati huo ilikuwa ni, YESU TWAOMBA MSAMAHA nk.

Baadae Mwalimu Elikana Aalikwenda tena kuanza kwaya hiyohiyo wakati kanisa lilipohamia Segerea, safari hii sasa ndiyo alipotunga Albamu hii ya NATEMBEA NIKINYATANYATA. Hapa chini ni mkusanyiko wa video mbalimbali katika albamu hiyo ya Natembea Nikinyatanyata kama zilivyopakiwa kwenye mtandao wa YOUTUBE na wadau mbalimbali.

Mawasiliano ya Mwalimu Elikana Simatya Mbijima ni haya hapa chini ikiwa utakuwa na maoni yeyote kuhusiana na maendeleo ya kwaya kwa ujumla na kazi ya kupeleka injili ya MWOKOZI YESU KRISTO mbele kwa njia ya sanaa ya uimbaji.

SIMU:            0715095019
WHATSAP:   0715095019
FACEBOOK  Elikana simatya(kunyatanyata) 

Ukitaka kumjua zaidi Mtumishi wa Mungu Mwl. Elikana bonyeza hapo kwenye maandishi yenye jina lake.

Nyimbo binafsi alizoimba hizi hapa


1. VIDEO: NYIMBO MCHANGANYIKO NATEMBEA NIKINYATANYATA TABATA MENNONITE




2. VIDEO: WIMBO NINATEMBEA NIKINYATANYATA



2. VIDEO: WIMBO GETHSEMANE TABATA MENONITE CHOIR



3. VIDEO: EE MUNGU TWAKUSHUKURU TABATA MENNONITE


4. VIDEO: WIMBO KAZALIWA TABATA MENNONITE CHOIR 


5. VIDEO: WIMBO MUNGU NIOKOE


6. VIDEO: WIMBO MWANADAMU TABATA MENNONITE CHOIR




7. VIDEO: WIMBO ANANIA TABATA MENNONITE CHOIR

Related Posts :

0 Response to "VIDEO : NYIMBO KWAYA YA TABATA MENNONITE(KUNYATANYATA) CHINI YA MWALIMU ELIKANA SIMATYA MBIJIMA"

Post a Comment